TUTAHAKIKISHA STAHIKI ZA WATUMISHI ZINALIPWA MAPEMA NA KUWAJENGEA NYUMBA WATUMISHI-WAZIRI UMMY

Na Mwandishi Wetu , Mtwara Watumishi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Kusini Mtwara kujengewa nyumba 20 vya malazi pamoja na kununuliwa magari mawili (Coster) na Gari kwa ajili ya Mkurugenzi ili kuwasaidia kutekeleza majukumu yao vizuri. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brig. Gen Marco